17 Sep 2025 8:20 pm | Citizen TV 145 views Duration: 1:22 Evans Mutwol na Alex Chavulimo wamejishindia likizo ya siku mbili pamoja na Familia zao katika hoteli ya Salt Lick Safari Lodge Tsavo, kwa hisani ya kampuni ya ViuTravel.