24 Apr 2026 10:36 am | Citizen TV 375 views Duration: 2:37 Viongozi wa madereva wa malori ya masafa marefu wameilaumu Wizara ya Leba humu nchini kwa kukaa kimya wakati madereva wanahangaishwa na kuuawa katika mataifa ya nje wanaposafirisha mizigo yao.