- 3,882 viewsDuration: 26sMvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko Vapi, kusini mwa Gujarat nchini India, zimesababisha mafuriko makubwa ambapo maegesho ya magari yalijaa maji na magari kadhaa kusombwa na mafuriko. Maji pia yaliingia kwenye nyumba na maduka, na kusababisha uharibifu mkubwa kwa wakazi wa eneo hilo. #bbcswahili #india #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw