Skip to main content
Skip to main content

Mafundi wa kike wanavyobadili jamii, Kenya

  • | BBC Swahili
    5,668 views
    Duration: 1:30
    Katika kijiji cha Amia, eneo la Morpus, Kaunti ya West Pokot nchini Kenya, wasichana wengi bado wanakabiliwa na vikwazo vikubwa vinavyoathiri maisha na elimu yao. Kulingana na takwimu za Kenya National Bureau of Statistics (KNBS), kati ya asilimia 57 hadi 61 ya wakaazi wa eneo hilo wanaishi katika hali ya umaskini, hali inayofanya elimu ishindane na mahitaji ya msingi ya maisha. Hata hivyo, dalili za mabadiliko zinaanza kuonekana, huku wasichana zaidi wakisalia shuleni na mitazamo ya jamii kuhusu elimu ya mtoto wa kike ikianza kubadilika. Nasteha Mohammed ametembelea kijiji hicho na kutuandalia taarifa ifuatayo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw