Mafuriko Homa Bay yameacha familia 37 bila makao katika kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    571 views

    Kufuatia mvua inayoendelea kushuhudiwa humu nchini, zaidi ya familia 37 kutoka kijiji cha Nyalkinyi katika kaunti ya Homa-Bay wameachwa bila makao baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo hilo