- 5,868 viewsDuration: 36sTakriban watu 13 wamefariki dunia katika mji mkuu wa Ghana, Accra, baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko makubwa. Serikali imewataka wananchi kubaki majumbani iwapo ni salama kufanya hivyo na kuwa katika maeneo ya juu ili kujinusuru na mafuriko. - - #bbcswahili #ghana #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw