- 4,599 viewsDuration: 31sMaeneo kadhaa nchini Marekani yamekumbwa na mafuriko ya ghafla yaliyosababisha magari kukwama na washiriki wa mbio za marathoni kulazimika kuvuka kwenye maji yaliyofikia kiunoni. Ila mpaka sasa hakuna vifo vilivyoripotiwa kutokana na mafuriko hayo. - - #bbcswahili #marathon #mafuriko #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw