Magari ya usafiri wa umma yaadimika katika eneo la Kapsabet

  • | Citizen TV
    655 views

    Msongamano wa abiria umeshuhudiwa katika vituo mbalimbali vya mabasi mjini kapsabet kaunti ya Nandi kufuatia uhaba wa magari yanayosafiri kuja jijini Nairobi na maeneo mengine. Aidha wahudumu wa magari wanasema kuwa bei ya juu ya mafuta ndio chanzo kikuu cha ukosefu wa magari kwani wameshindwa kuongeza nauli