Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Serikali yajitolea kutekeleza kikamilifu mkataba wa kitaifa wa wanawake

  • | KBC Video
    102 views
    Duration: 3:01
    Serikali imethibitisha kujitolea kwake kutekeleza kikamilifu mkataba wa kitaifa wa wanawake, ikiahidi kwamba ahadi zote za serikali za kuwainua wanawake zitatimizwa ifikapo mwaka ujao. Akizungumza huko Gem wakati wa uzinduzi wa uwezeshaji kiuchumi katika kaunti ya Siaya, katibu wa huduma za watoto Carren Ageng’o alisema kuwa masuala ya wanawake yanapewa kipaumbele na serikali ya kitaifa. Taarifa zaidi ni kwenye dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive