Wakazi wa vijiji vya Kambi ya Juu na Kulamawe katika Wadi ya Bulapesa, kaunti ya Isiolo, wameandamana na kufunga barabara inayounganisha vijiji hivyo viwili na mji wa Isiolo, kufuatia kuuawa kwa kupigwa risasi kwa mwanamme mwenye umri wa miaka 23. Wakati huo huo, vijana katika kaunti ya Migori wamehimizwa kujisajili kwenye vyama vya ushirika katika mfumo wa ununuzi wa kielektroniki wa serikali ili waweze kuwania zabuni za serikali. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive