- 1,165 viewsDuration: 2:55Spika wa bunge la seneti Amason Kingi sasa ameitisha kikao kati ya magavana na maseneta kutatua mgogoro uliobuka kuhusu ukaguzi wa raslimali za kaunti. Haya yakijiri huku maseneta wanne waliotajwa kwa kuwahangaisha magavana na hata kudai hongo sasa wakimtaka Inspekta jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuwakamata magavana wanaosusia vikao.