Magavana wakataa pendekezo la kukata mgao wa kaunti

  • | Citizen TV
    249 views

    baraza la magavana limefika mbele ya seneti kuwasilisha malalamishi yake kuhusu pendekezo hilo la kupunguzwa kwa mgao wa kaunti . magavana wanasisitiza kuwa sharti kaunti zipewe shilingi bilioni 400 kama ilivyoafikiwa ili shughuli zisikwame.