Magavana wameamua kwa kauli moja kushinikiza kuwekezwa zaidi kwa sekta ya afya huku wakitaka mkutano na rais William Ruto hivi karibuni kutathmini kuondoka kwa wawekezaji katika sekta ya afya, wakisisitiza wakazi katika kaunti wanaumia sana ikizingatiwa wakenya wengi wanapata huduma za afya katika kaunti
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya