Mahakama iliamua kuwa bima ya SHIF ni kunyume cha sheria

  • | Citizen TV
    531 views

    Mkanganyiko unaendelea kushuhudiwa katika sekta ya afya baada ya mahakama kutoa uamuzi kwamba bima mpya ya (SHA) ni kinyume cha sheria na baadaye kuipa serikali siku 45 kukata rufaa ya kesi hiyo. Washikadau wakiikashifu serikali kwa kuharakisha bima hio bila kufuata sheria zote ili kuepuka matatizo yanayoadhiri utoaji huduma.