- 2,107 viewsDuration: 40sMahakama imedinda kutoa shilingi milioni 22 za bima ya maisha ya marehemu David Majanja kwa nduguye. Mahakama imewaagiza wasimamizi makubaliano ya jinsi pesa hizo zitakavyogawanywa. msajili mkuu w aidara ya mahakama amethibitishia mahakama kuwa marehemu majanja hakumteua mtu yeyote au watu fulani kukabidhiwa pesa hizo na hivyo basi mali yake haiwezi kutolewa kwake sawia na wosia aliowacha ambapo Martin Aluvisia Majanja alitajwa.