Mahakama imemwachilia mwanamme aliyeshtakiwa kwa kupanga njama ya udanganyifu wa kipande cha ardhi

  • | KBC Video
    74 views

    Mahakama ya hakimu ya Milimani imemwachilia mwanamme aliyeshtakiwa kwa kupanga njama ya udanganyifu kuhusiana na kipande cha ardhi cha thamani ya shilingi bilioni- 1.6 kwa bondi ya shilingi milioni-tano. Mshtakiwa huyo Francis Muhuhu Ndinguri aliyekanusha shtaka hilo pia alishtakiwa kwa makosa mengine mawili miongoni mwayo kujisingizia kuwa mkurugenzi wa kampuni ya uwekezaji ya Messer’s Langton Investment Limited. Kwa hizi na habari nyingine kinafuata kitengo chetu cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive