Mahakama itatoa uamuzi wa kuwazuia washukiwa JumatatuWASHUKIWA WATANO WAFIKISHWA MAHAKAMANI KIAMBU

  • | Citizen TV
    610 views

    Mahakama ya Kiambu inatarajiwa kutoa uamuzi jumatatu wiki ijayo kwa ombi la upande wa mashtaka kuendelea kuwazuia watuhumiwa wa mauaji ya mwanablogu wa Meru Daniel Muthiani maarufu sniper.