Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuamua iwapo wakulima wa kahawa watalipwa kupitia mfumo wa DSS Kerugoya

  • | Citizen TV
    363 views
    Duration: 2:01
    Serikali kupitia soko la mauzo ya kahawa la NCE litangoja muda wa mwezi Moja Ili kujua kama Sheria ya kulipa kahawa kupitia mfumo wa DSS utakubaliwa .Hii ni baada ya hakimu mkuu wa mahakama ya Kerugoya Edward Muriithi kusema ataamua kesi iliyoko mbele yake mnamo Tarehe sita mwezi Novemba