21 Oct 2025 7:54 pm | Citizen TV 475 views Duration: 42s Mahakama ya leba imeizuia serikali ya kaunti ya Kiambu kuwaajiri madaktari wapya hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani itakaposikilizwa na kuamuliwa