Mahakama ya Nakuru yamwachilia Seneta Mandago na wenzake wawili

  • | Citizen TV
    638 views

    Mahakama ya Nakuru imemwachilia kwa dhamana seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago na washukiwa wawili Joshua Lelei na Meshack Rono kwenye sakata ya wizi wa mabillioni ya pesa kwa ufadhili wa wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu nchini Finland na Canada.