Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Rufaa yafutilia mbali uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu sheria ya NG-CDF ya 2015

  • | Citizen TV
    2,087 views
    Duration: 2:00
    Mahakama ya rufaa imefutilia mbali uamuzi wa mahakama kuu uliotangaza sheria ya hazina ya ustawi wa maeneo bunge ng-cdf ya mwaka 2015 kuwa kinyume na katiba. Majaji wamesema mahakama kuu ilikosea katika uamuzi wake wa kufutilia mbali sheria hiyo. Mnamo mwaka 2024, majaji watatu wa mahakama kuu waliamua kwamba sheria hiyo iliingilia majukumu yaliyowekwa chini ya mfumo wa ugatu