Mahakama ya upeo yatupilia mbali rufaa ya Seneta Omtatah kuhusu sheria ya fedha ya 2023

  • | Citizen TV
    656 views

    Ni pigo Kwa wakenya baada ya mahakama ya upeo kutupilia mbali rufaa ya seneta wa busia okiya omtatah iliyotaka mahakama hiyo kubatilisha agizo la mahakama ya rufaa iliyoidhinisha sheria ya fedha iendelee kutekelezwa.