30 Sep 2025 1:30 pm | Citizen TV 211 views Duration: 52s Mahakama ya Kibera imeamua kwamba mfanyabiashara Chris Obure na mshtakiwa mwenza wana kesi ya kujibu dhidi ya mashtaka ya ulaghai kwa mujibu wa ithibati na ushahidi uliopo.