Mahakama yabatilisha uchaguzi wa wabunge wawili wa ODM

  • | Citizen TV
    1,065 views

    Chama cha ODM kimepata pigo baada ya mahakama mjini meru na malindi kutupilia mbali uchaguzi wa wabunge wawili wa chama hicho.