Wakazi wa Nyari wapinga kuanzishwa kwa mradi wa uchimbaji madini ya titanium

  • | NTV Video
    160 views

    Wakazi wa kijiji cha Nyari eneobunge la Ganze, Kilifi, wameandamana wakipinga kuanzishwa kwa mradi wa uchimbaji madini ya titanium, unaondelea kujengwa na mwekezaji mmoja kutoka Uchina.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya