- 453 viewsDuration: 4:09Mahakama ya hakimu mjini Kerugoya imeidhinisha kukabidhiwa kwa mwili wa marehemu msanii wa nyimbo za injili Rachael Muthoni Wandeto kwa mamake ili uzikwe. Uamuzi huo unahitimisha mzozo ambapo mpenziwe Peter Njaramba alitaka kumzika. Wandeto alianza kuangaziwa kufuatia madai kwamba alimwagiliwa asidi na kuwashwa moto katika mtaa wa Mwiki jijini Nairobi, kwa kuchaja chale ya picha ya rais. Mazishi yake yaliyopangiwa yalisitishwa kusubiri uamuzi awa kesi hiyo. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mseto wa taarifa kitengo chetu cha mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive