Mahakama yamkubalia DPP kuondoa mashtaka ya ufisadi dhidi ya Naibu wa rais Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    1,095 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa yuko huru baada ya mashtaka ya ufisadi na makosa ya kiuchumi dhidi yake kuondolewa.Hakimu Victor Wakumile aliidhinisha kuondolewa kwa mashtaka dhidi yake na washtakiwa wengine tisa. Hakimu Wakumile alimkashifu mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa kuwasilsiha kesi mahakamani kabla ya kupata ushahidi thabiti. na kama anavyoarifu Sam Gituku, hakimu Wakumile sasa anapendekeza kubuniwa kwa afisi maalum ya kuchambua kesi kabla ya kuwasilishwa mahakamani.