30 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 5,266 views Duration: 46s Mahakama ya Kibera imewanyima washukiwa sita dhamana akiwemo mshukiwa mkuu Samson Talaam aliyekuwa OCS katika kituo cha polisi cha Central kwenye kesi ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang'