1 Oct 2025 7:57 pm | Citizen TV 4,127 views Duration: 54s Ni pigo jingine kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu, baada ya mahakama kwa mara ya tatu kudinda kuidhinisha ombo lake la kutaka kuachiliwa kwake kwa dhamana.