Mahakama yamwachilia Seneta wa Uasin Gishu Mandago kwa dhamana

  • | Citizen TV
    3,130 views

    Mahakama ya Nakuru imemwachilia kwa dhamana Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago na washukiwa wawili Joshua Lelei na Meshack Rono. Watatu hao walishtakiwa kwa kuhusishwa na sakata ya wizi wa mabillioni ya pesa ya ufadhili wa wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu kwenda kusoma nchini Finland na Canada.