Mahakama yasema bunge la Kaunti ya Kisii lilifuata sheria kutimua bodi ya kuajiri wafanyikazi

  • | Citizen TV
    2,596 views

    Mahakama ya Leba ya Kisumu imesema kuwa bunge la Kaunti ya Kisii lilifuata sheria kutimua Bodi ya kuajiri wafanyikazi wa kaunti hiyo.Uamuzi huo uliotolewa na Jaji wa Mahakama hiyo Radido Stephen Okiyo unatoa nafasi kwa kaunti.ya Kisii kuanza mchakato wa kuwatafuta wanachama wapya wa bodi hiyo. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno amezungumza na wabunge wa kaunti hiyo na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi.