Mahakama yasitisha mgomo ulioingia siku ya pili

  • | Citizen TV
    568 views

    Mahakama kuu imesitisha kwa muda mgomo wa walimu chini ya chama cha KUPPET, kwenye siku ya pili ya mgomo huu wa walimu wa sekondari na taasisi za elimu. Hii ni kwa lengo la kutoa nafasi kwa kesi iliyowasilishwa na tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC kusikilizwa na kuamuliwa