- 190 viewsDuration: 2:56Mahakama ya kushughulikia masuala ya ajira na leba imetoa maagizo ya kuzuia serikali ya kaunti ya Kiambu kuwafuta kazi madaktari ambao ni wanachama wa chama cha madaktari humu nchini KMPDU. Jaji Hellen Wasilwa pia ametoa agizo la muda la kuzia kaunti hiyo kuwaajiri madaktari maalum wapya Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive