- 3,057 viewsDuration: 2:02Familia ya Shadrack Maritim, mwanasiasa ambaye alikuwa mwaniaji wa kiti cha ubunge chaTinderet, inaitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina wa madai ya kutekwa nyara kwa zaidi ya mwezi mmoja kabla ya kupatikana nchini Uganda.