Maina Njenga aagizwa kufika kwenye afisi za DCI Nairobi

  • | KBC Video
    40 views

    Aliyekuwa kiongozi wa kundi lililoharamishwa la Mungiki, Maina Njenga, ameagizwa kufika katika makao makuu ya idara ya upelelezi jijini Nairobi siku ya Alhamisi , saa mbili asubuhi ili kuhojiwa. Njenga alipewa agizo hilo siku ya jumatano na idara ya upelelezi katika kaunti ya Nakuru, baada ya kuhojiwa kwa takriban dakika 45 .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #MainaNjenga #darubini