Maisha ya kuhamahama yatatiza kina mama wanaonyonyesha Garissa

  • | Citizen TV
    225 views

    Maisha ya kuhamahama na ukosefu wa lishe bora miongoni mwa kina mama zimetajwa kama baadhi ya sababu kubwa zinazochangia kina mama katika jamii ya wafugaji kukosa kunyonyesha watoto wao mfululizo kwa miezi sita kama inavyopendekezwa na wizara ya afya.