- 18,239 viewsDuration: 1:12Kwa vizazi vinne, familia moja imekuwa ikiishi katika nyumba nyembamba sana katika mji wa Surat, nchini India. Urefu wa nyumba hiyo ni takribani mita 25, lakini upana wake ni mdogo kiasi kwamba unaweza kugusa kuta za pande zote mbili kwa wakati mmoja. Nyumba hiyo ina upana wa mita 1.2 pekee. Licha ya vipimo vyake vya kipekee na nafasi finyu, familia ya Sailor inasisitiza kuwa nyumba hiyo ni tulivu na yenye amani, na imekuwa makazi yao kwa zaidi ya vizazi vinne na hata sherehe hufanyika hapo: Mwandishi wa BBC @frankmavura anasimulia - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw