Maiti yafukuliwa baada ya kupatikana katika boma la afisa wa ardhi

  • | Citizen TV
    2,519 views

    Polisi katika Kaunti ya Siaya wameanzisha uchunguzi kuhusiana na maiti iliyopatikana imezikwa katika boma la afisa wa ardhi, Philip Onyango Ogutu miezi minne baada ya familia kuripoti kutoweka kwake.