Skip to main content
Skip to main content

Maiti yatolewa kwenye vifusi vya jumba lililoanguka South C

  • | Citizen TV
    6,243 views
    Duration: 3:13
    Mwili wa mlinzi mmoja umetolewa kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani South C, hapa Nairobi. Mwili wa mlinzi huyo ukipatikana baada ya siku tatu za shughuli za uokoaji. Waziri wa mipango maalum, Geoffrey Ruku amesema juhudi zinaendelea kumtafuta mlinzi wa pili ambaye ripoti zinaashiria huenda alikuwa eneo la chini la kuegesha magari