- 9,145 viewsDuration: 1:41Sudani Kusini inashuhudia athari za miongo kadhaa ya migogoro na mabadiliko ya tabianchi. Zaidi ya watu milioni saba nchini humo wanahitaji msaada wa chakula, wakiwemo watoto zaidi ya milioni mbili, kwa mujibu wa Umoja wa mataifa (UN). Mwandishi wa BBC @frankmavura na taarifa zaidi - #bbcswahili #sudankusini #njaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw