Majimbo 15 Marekani kuchagua mgombea urais wa vyama vyao Jumanne

  • | VOA Swahili
    181 views
    Wapiga kura nchini Marekani katika zaidi ya darzeni yanaelekea katika upigaji kura wa Jumanne kuchagua mgombea urais kwa tiketi ya chama chao. Mwishoni mwa wiki, wagombea wote walizidisha ukosoaji wao kwa wapinzani wao na kuelezea vipaumbele vyao kwa wapiga kura. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.