Makali ya Kiangazi | Maaskofu wa kikatoliki wataka ukame utangazwe kuwa janga la taifa

  • | KBC Video
    34 views

    Kongamano la Maaskofu wa kanisa katolii sasa linataka serikali, kutangaza hali ya ukame inayoshuhudiwa katika maeneo mbali mbali nchini, kuwa janga la kitaifa. Wakizungumza katika kaunti ya Mombasa, viongozi hao wa kidini, walisema kiangazi kinachoshuhudiwa haswa maeneo kame ni kibaya zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #jangalakitaifa