- 859 viewsDuration: 3:43Maafisa wa polisi wameapa kuendeleza vita dhidi ya uhalifu, mihadarati na pombe haramu ili kuhakikisha Pwani imeendelea kushuhudia utulivu na amani. Akiongea katika sherehe ilioleta pamoja asasi za usalama kamanda wa polisi Pwani Ali Nuno na yule wa upelekezi Daniel Kandie katika makao makuu ya polisi Pwani wametoa wito kwa ushirikiano baina yao na wakazi ili kuboresha usalama.