- 58,550 viewsDuration: 56sKesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche anaendelea kutoa ushahidi wake akiulizwa maswali na Lissu. #bbcswahili #chadema #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw