Makanisa na maeneo ya burudani yalaumiwa kwa kelele

  • | Citizen TV
    1,041 views

    Serikali Ya Kaunti Ya Nairobi Imesisitiza Kuwa Hatasitisha Juhudi Zake Kuhakikisha Wakazi Wa Nairobi Wanaishi Kwa Mazingira Yasiyo Na Kelele Kutoka Kwa Maabadi Na Maeneo Ya Burudani.