29 Apr 2026 1:29 pm | Citizen TV 70 views Makasisi na viongozi wa dini kutoka kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa vijana kujiepusha na ushawishi wa wanasiasa wanaowatumia vibaya kwa maslahi ya kisiasa.