Kutoka mitaa ya Lyon hadi jukwaa kubwa la soka la Ulaya, jina Mathis Rayan Cherki linaendelea kuandikwa kwa wino nzito.
Ni kijana mwenye kipaji adimu, akili ya mchezo na ujasiri unaovuka umri wake. Huyu si mchezaji wa kawaida, huyu ni Makinda Hatar.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya