Skip to main content
Skip to main content

Makocha wa Starlets walalamikia kukosa mikataba rasmi

  • | Citizen TV
    357 views
    Duration: 2:09
    Licha ya kufuzu kwa michuano ya kimataifa, makocha wa timu za Harambee Starlets na Junior Starlets wameeleza wasiwasi wao kuhusu kutokuwa na mikataba rasmi ya ajira. Makocha hao walitoa kauli hiyo walipomtembelea Rais William Ruto katika Ikulu ya Nairobi mapema leo, wakitaka suala hilo kushughulikiwa licha ya mafanikio ya timu hizo kwenye medani ya kimataifa.