Mitaro mikubwa ya mmomonyoko wa udongo inashuhudiwa katika mashamba, ikitishia makazi katika eneo la Maungu kaunti ya Taita Taveta, na kuwaacha wakazi na wasiwasi. Mmomonyoko huo unaochochewa na mabadiliko ya tabia nchi tayari umesababisha kifo cha mtoto mmoja, huku familia zikijitahidi kuokoa ardhi yao. Licha ya juhudi za serikali za upanzi wa miti na miradi ya kijamii ya uhifadhi wa mazingira, wataalamu wanaonya kuwa uharibifu huo utaendelea ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Ben Chumba anaarifu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive