Makovu ya mateka wa maandamano

  • | NTV Video
    115 views

    Mashirika takriban sita wakiwemo wataalmu wa sheria pamoja na vijana manusura wa unyama wa polisi wakati wa maandamano dhidi ya mswada wa fedha wa mwaka 2024 walikuatana katika jumba la ufungamano kusimulia yaliyowafika. Mmoja ni Billy Samini Mkenya wa kwanza kusambaa mitandaoni kwamba ametekwa nyara.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya